
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Bw. Felix Daud Ntibenda akikabidhi Hati ya Makabidhiano ya ofisi kwa mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo. Picha zote na Wazalendo 25 Blog.

Felix Ntibenda akizungumza machache kwa viongozi wa ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Arusha mara baada ya kukabidhi ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Mrisho Gambo.
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Bw. Felix Daud Ntibenda Akisaini daftari la makabidhiano ya ofisi, wakati akikabidhi ofisi kwa mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo.


Toa Maoni Yako:
0 comments: