Msanii pekee wa kike aliyeingia Fainali ya Tigo Fiesta Super Nyota jijini Mwanza,Yasinta akiimba wakati wa shindano hilo lililofanyika ukumbi wa Rock Bottom jijini Mwanza jana.
Msanii mdogo kuliko wote kwenye Tigo Fiesta Super Nyota jijini Mwanza, Aga Star akionyesha kipaji chake.
Msanii Nchama akiwania nafasi ya kushiriki fainali za Tigo Fiesta Super Nyota zitakazofanyika uwanja wa ccm Kirumba jijini mwanza jumamosi wakati wa msimu wa fiesta.
Majaji wakiongozwa na Gardener G Habash(katikati) wakihesabu kura kwenye mchuano wa Tigo Fiesta Super Nyota jijini Mwanza.
Washindi walioingia fainali ya Tigo Fiesta Super Nyota jijini Mwanza, wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: