Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Bi. Monica Patricio Mussa
akisaini kitabu cha Maombolezo katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Mtaa wa
Luthuli jijini Dar es Salaam leo kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa
Awamu ya pili Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi.
Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Elitrea Bw. Saleh Azaril
Kaimu Balozi wa Burundi nchini Tanzania Bw. Pierre Ndayishimiye
Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Angola Bw. Joel Cumbo. Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Selikarini, Ofisi ya Makamu wa Rais.


Toa Maoni Yako:
0 comments: