Wateja wa Tigo wakipata huduma za Tigo pesa katika banda la tigo kwenye maonesho ya 40 ya kimataifa ya biashara (sabasaba) jijini Dar Es Salaam jana
Watoa huduma wa kampuni ya simu za mkononi Tigo wakihudumia wateja waliotembelea banda la kampuni hiyo kwenye maonesho ya 40 ya kimataifa ya biashara (sabasaba) jijini Dar Es Salaam jana
Wateja wakiangalia baadhi ya simu zinazouzwa katika banda la kampuni ya simu ya Tigo katika maonesho ya 40 ya sabasaba jana jijini Dar es salaam.
Mmoja wa wateja akipata maelezo kwa mtoa huduma wa Tigo kuhusu simu zinazouzwa katika banda la tigo
Watoa huduma wa kampuni ya simu za mkononi Tigo wakihudumia wateja waliotembelea banda la kampuni hiyo kwenye maonesho ya 40 ya kimataifa ya biashara (sabasaba) jijini Dar Es Salaam jana.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: