Bondia Idd Mkwela kushoto akipambana na Nassoro Madimba wakatiwa mpambano wao uliofanyika Bagamoyo mkoa wa Pwani Mkwela alishinda kwa K.O ya raundi ya pili ya mpambano huo. Picha zote na Super D.
Bondia Idd Mkwela kushoto akipangua konde lililotupwa na Nassoro Madimba wakatiwa mpambano wao uliofanyika Bagamoyo mkoa wa Pwani Mkwela alishinda kwa K,O ya raundi ya pili ya mpambano huo.
Bondia Idd Mkwela kushoto kutoka kambi ya Super D Coach Uhuru GYM Kariakoo akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Nassoro Madimba wa Bagamoyo wakati wa mpambano wao uliofanyika Bagamoyo Mkoa wa Pwani Mkwela alishinda kwa K.O ya raundi ya pili.
Refarii Said Chaku akimesabia bondia Nssoro Madimba baada ya kupokea konde zito kutoka kwa Idd Mkwela na kwenda chini.
Bondia Kalama Nyilawila kushoto akipambana na Hussein Pendeza wakati wa mpambano wao uliofanyika bagamoyo Kalama alishinda kwa T.K.O ya raundi ya pili ya mchezo.
Bondia Kulwa Bushiri kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Abdallah Pazi wakati wa mpmbano wao uliofanyika Bagamoyo mkoa wa pwani Pazi alishinda kwa K.O ya raundi ya pili ya mpambano huo.
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akiwa na bondia wake Idd Mkwela wakati wa mpambano wa bondia huyo uliofanyika Bagamoyo Mkoa wa Pwani.
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwa na mabondia wake Idd Mkwela katikati na Vicent Mbilinyi wakati wa mpambano wa Mkwela uliofanyika Bagamoyo Mkoa wa Pwani.
Mabondia Abdallah Pazi kushoto akitunishiana misuli na Kalama Nyilawila wakati alipokutanya Bagamoyo Mkoa wa pwani wakati wa mpambano wa Idd Mkwela na Nassoro Madimba wa Bagamoyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments: