Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Ahmed Msangi,akipokea kompyuta na printa kutoka kwa Mkurugenzi wa Kanda ya ziwa wa mtandao wa tigo Ali Maswanya(kushoto), wakati wa hafla ya makabidhiano jijini Mwanza jana, kulia ni Mkuu wa upelelezi Mkoa wa Mwanza ACP Augustino Senga akishuhudia.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Ahmed Msangi,akizungumza na Mkurugenzi wa Kanda ya ziwa wa mtandao wa Tigo, Ali Maswanya (kushoto) jijini Mwanza jana,baada ya kupokea kompyuta na printa wakati wa hafla ya makabidhiano ,kulia ni Mkuu wa upelelezi Mkoa wa Mwanza ACP Augustino Senga akishuhudia.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: