BO1
Mkurugenzi wa LitoStar Park Mbezi Salasala Bw. Thomas Mbega akigonganisha glasi na wageni waalikwa waliofika kwenye uzinduzi rasmi wa ukubi huo uluoko Mbezi Salasala katika hafla iliyofanyika ukumbini hapo na kuhudhuriwa na waalikwa mbalimbali kutoka makampuni na watu binafsi ili kujumuika pamoja na kufurahia ukumbi huo wenye mandhari ya kipekee umezinduliwa hivi karibuni jijini Dar es salaam.
BO2
Mkurugenzi wa LitoStar Park Mbezi Salasala Bw. Thomas Mbega akigonganisha glasi na wageni waalikwa
bo14
Mkurugenzi wa LitoStar Park Mbezi Salasala Bw. Thomas Mbega akimshukuru mungu kwa kumfikisha hapo alipofikia na kumshukuru mjenzi wa jengo hilo pamoja na wafanyakazi na wageni waalikwa kwa jinsi ambavyo wamejali na kumsaidia katika shughuli zake.
bo12
Bw. Borry Mbaraka kulia Meneja Masoko na Mauzo Litostar Park Mbezi Salasala akipozi kwa picha na wadau wa Litostar waliohudhuria katika uzinduzi huo.
BO3
Wageni waalikwa mbalimbali wakipata kinywaji katika hafla hiyo.bo10
Wageni waalikwa wakisikiliza hotuba ya Mkurugenzi wa LitoStar Park Mbezi Salasala Bw. Thomas Mbega wakati apolikuwa akizungumza nao katika uzinduzi huo.
BO4
Vinywaji vya aina tofauti vinapatikana Litostar
BO5
BO7
Mandhari ya ukumbi wa Litostar unavyoonekana kwa ndani
bo13
LitoStar Park Mbezi Salasala unavyoonekana kwa nje.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: