Makamu wa Rais wa Jahuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kufungua rasmi maonesho ya Kimataifa ya kukuza Biashara ya Utalii yaliyopewa jina la Swahili (SITE), yaliyoanza leo Okt 01, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Kilimanjaro Tourism & Fair (Kilifair), Tom Kunkler, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho baada ya ufunguzi wa Kimataifa ya kukuza Biashara ya Utalii yaliyopewa jina la Swahili (SITE), yaliyoanza leo Okt 01, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kutoka kwa Meneja waFast Jet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa ya kukuza Biashara ya Utalii yaliyopewa jina la Swahili (SITE), yaliyoanza leo Okt 01, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Monarch Safari Guides, Victor Molel,  wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa ya kukuza Biashara ya Utalii yaliyopewa jina la Swahili (SITE), yaliyoanza leo Okt 01, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Ssalaam. Katikati ni Meneja, Allen Mollel.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kutoka kwa Wakala wa Shirika la Ndege la Qatar Airways, Dorah Chanafi, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa ya kukuza Biashara ya Utalii yaliyopewa jina la Swahili (SITE), yaliyoanza leo Okt 01, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Masoko Amina Nassor.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitembelea katika Banda la India, alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa ya kukuza Biashara ya Utalii yaliyopewa jina la Swahili (SITE), yaliyoanza leo Okt 01, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitembelea katika Banda la Hifadhi za Taifa Tanzania, alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa ya kukuza Biashara ya Utalii yaliyopewa jina la Swahili (SITE), yaliyoanza leo Okt 01, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa ya kukuza Biashara ya Utalii yaliyopewa jina la Swahili (SITE), uliofanyika leo Okt 01, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam
 Sehemu ya washiriki waliohudhuria ufunguzi wa mkutano huo kwenye ukumbi wa Mliman City, leo, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal.
 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mgimwa, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo, kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Adelhem Meru, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.
 Kikundi cha burudani kikitoa burudani ukumbini humo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi ya Saa, Mwakilishi wa Ang'ata Lodges, wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa ya kukuza Biashara ya Utalii yaliyopewa jina la Swahili (SITE), yaliyoanza leo Okt 01, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki na wadhamini wa maonesho.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: