Mjumbe wa Kamati ya Maafa wilayani Mpwampwa, Shekh, Sabah Seif akisisitiza jambo wakati wa Mkutano wa kujadili Taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango ya Kujiandaa na Kukabiliana na Maafa kwa Halmashauri za Chamwino, Kondoa na Mpwapwa mjini Dodoma, tarehe 12 Septemba, 2015.
Wakuu wa wilaya za Mkoa wa Dodoma ambao pia ni Wajumbe wa Kamati za Wilaya za Maafa wakifuatilia uwasilishaji Taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango ya Kujiandaa na Kukabiliana na Maafa kwa Halmashauri za Chamwino, Kondoa na Mpwapwa mjini Dodoma, tarehe 12 Septemba, 2015. Wakwanza ni; Shaban Kisu (Kondoa), Ramadhani Maneno (Chemba), Francis Kimoga (Bahi) na Bituni Msangi (Mpwapwa).
Mratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Charles Msangi akisisitiza jambo wakati akiwasilisha Taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango ya Kujiandaa na Kukabiliana na Maafa wa Halmashauri ya Chamwino, wakati wa Mkutano wa kujadili Utekelezaji wa Mpango kwa Halmashauri za Chamwino, Kondoa na Mpwapwa mjini Dodoma, tarehe 12 Septemba, 2015.
Mkuu wa Mkoa Dodoma, Luteni. Mstaafu, Chiku Galawa (walio kaa katikati) akiwa na wajumbe wa Kamati za maafa za wilaya mkoani Dodoma mara baada kufungua Mkutano wa kuwasilisha Taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango ya Kujiandaa na Kukabiliana na Maafa kwa Halmashauri za Chamwino, Kondoa na Mpwapwa , tarehe 12 Septemba, 2015.


Toa Maoni Yako:
0 comments: