Afisa Masoko wa Airtel kanda ya ziwa akiongea na mawakali mara baada ya
kuendesha seminar inayowapatia fulsa Mawakala wa Airtel Money nchini
nzima kupata mikopo kupitia simu zao za mkononi.
Wakala wa Airtel Money katika maeneo ya Metro Mwanza, Bwana John Hainga akichangia mada wakati wa semina ya mawakala inayowapatia fulsa ya kupata mikopo isiyo na dhamana ijulikanayo kama Timiza Mikopo kwa Mawakala.


Toa Maoni Yako:
0 comments: