KIKOSI CHA YANGA kilichozima uteja kwa SIMBA kipindi cha miaka sita! Tangu 1975 hadi mwaka 1981! Hiki ni kikosi cha wokovu ambacho baada ya miaka sita ya kuchapwa mfululizo na kukosa ubingwa kikaifunga Simba bao 1-0 mwaka 1981 na kupata ubingwa! Bao lilifungwa na JUMA MKAMBI "General' Picha hii ilipigwa kwenye mechi hiyo! Baada ya hapo Simba ikaanza taratibu kufanya mabadiliko kwenye kikosi chake!!
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: