Dj wa redio Efm, anayefahamika kwa jina la Dj Con akifungua burudani
ya muziki ndani ya baa ya Baracuda iliyopo Tabata jijini Dar es salaam
wakati wa hafla ya kuipongeza baa hiyo iliyoibuka mshindi wa wiki kwenye
kampeni inayoendelea ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani. Kampeni hii
inaendelea mikoani pia ambapo itawafikia wakazi wa; - Arusha, Mbeya,
Mwanza, Moshi na Morogoro.
Mkazi wa Tabata Proper Maro (wa kwanza kulia) akipokea zawadi yake ya
mfuko wenye fulana toka kwa balozi wa bia hiyo Veronica Mbilinyi
(kushoto) wakati wa wa hafla ya kuipongeza baa ya Baracuda iliyopo
Tabata jijini Dar es salaam ambapo promosheni ya Tusker Fanyakweli
Kiwanjani ilifunga kambi eneo hilo mwisho wa wiki iliyopita kuipongeza
baa hiyo iliyoibuka mshindi wa wa shindano la Fanyakweli kiwanjani.
(Katikati) ni Mshereheshaji wa promosheni hiyo na mtangazaji wa redio
E-fm Gadner Habbash.
Mkazi wa Tabata Magengeni, Gerald William (36) akipokea zawadi yake ya
fulana toka kwa balozi wa bia ya Tusker Veronica Mbilinyi (Kushoto)
katika hafla ya kuipongeza baa ya Baracuda iliyopo Tabata jijini Dar es
salaam ambayo iliibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli
Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker. (Kulia) mshereheshaji wa
kampeni hiyo Gadner Habash. Kampeni hii inaendelea mikoani pia ambapo
itawafikia wakazi wa; - Arusha, Mbeya, Mwanza, Moshi na Morogoro.
Mpenzi wa bia ya Tusker Salima Ally (katikati) akifurahia zawadi yake
ya fulana aliyopokea toka kwa mtangazaji wa redio Efm na mshereheshaji
wa kampeni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani Gadner Habash wakati kampeni
hiyo ilipofunga kambi katika baa ya Check point Chanika kuipongeza baa
hiyo iliyoibuka mshindi wa wiki kwenye shindano la Fanyakweli Kiwanjani
linaloendeshwa na bia ya Tusker. Nia ya kampeni hiyo ni kuhamasiha baa
mbalimbali za mitaa inayotuzunguka kufanya kweli wanapotoa huduma kwa
wateja wao.
Mpenzi wa bia ya Tusker Njau Dismas (katikati) akitabasamu mara baada ya meza yake kufikiwa na zawadi ya mfuko wenye fulana na kalamu katika hafla ya kuipongeza baa ya Baracuda iliyopo Tabata jijini Dar es salaam ambayo iliibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker. Nia ya kampeni hiyo ni kuhamasiha baa mbalimbali za mitaa inayotuzunguka kufanya kweli wanapotoa huduma kwa wateja wao. (Kulia) ni Mshereheshaji wa kampeni hiyo Gadner Habash na kushoto ni balozi wa bia hiyo Veronica Mbilinyi.






Toa Maoni Yako:
0 comments: