RAIS Jakaya Kikwete, ambaye muhula wake wapili wa uongozi unafikia kilele mwishoni mwa mwaka huu, ameanza kuwaaga watanzania na leo Agosti 3, 2015, ameanza na mkoa wa Tanga, pichani Rais Kikwete akiwaaga mamia ya wakazi wa jiji hilo la Tanga waliojitokeza katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika uwanja wa michezo wa Mkwakwani. Wawakilishi wa wananchi
kutoka wilaya zote za mkoa huop walimpatia zawadi Mh. Rais. Wakati huo huo Rais Kikwete, amezinduz rasmi wiki ya nenda kwa usalama kitaifa. Uzinduzi huo pia ulifanyika mkoani Tanga.(Picha na Freddy Maro wa Ikulu).

Toa Maoni Yako:
0 comments: