Kutokana na kulipuka kwa ugonjwa wa Kipindupindu bado wafanyabiashara hawazingatii usafi wa mazingira kama anavyo onekana muuza nyama za kuchoma katika eneo la Buguruni Dar es Salaam.
Mkazi huyu wa Buguruni Dar es Salaam akila Chakula sehemu isiyokuwa na usalama wa afya yake mbali ya kutambua kuwa kwa sasa hali imekuwa tete kwa jiji la Dar es Salaam.
Jalala likiwa katika eneo la Soko la Buguruni Dar es Salaam jambo ambalo ni hatari ni wateja wanakwenda kununua bidhaa sokoni hapo.
 Mama lishe akikaanga nyama za kuku huku mazingira yakiwa si mazuri Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: