Lawrence Masha akilakiwa mara baada ya kupwa dhamana.
Lawrence Masha akiwa na wanachama wa Ukawa baada ya kuachiwa.
Baada  kulala mahabusu ya Segerea, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Lawrence Masha ameachiwa kwa dhamana baada ya kutimiza masharti ya dhamana.
Masha, ambaye anashitakiwa kwa kosa la kuwazuia Polisi wasifanye kazi ikiwa ni pamoja na kuwatolea lugha ya matusi.

Juzi alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo alisomewa mashtaka ambayo aliyakana lakini ikalazimu apelekwe mahabusu ya Segerea baada ya kushindwa kutimiza masharti ya dhamana.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: