Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ikiongozwa na Rais Jakaya Kikwete muda huu ndiyo imeingia kuanza kikao chake ndani ya Makao Makuu ya Chama hicho Mkoani Dodoma.
Kikao hicho kimeanza majira ya saa 10:30 huku wajumbe wote wakiwa kamili huku tukitarajia baada ya kikao kuisha watatangaza 5 bora ikifuatiwa na ile ya 3 bora. PICHA ZOTE NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASON BLOG - DODOMA.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwakaribisha wajumbe wa Mkutano Mkuu kuanza kikao chake.

Waandishi wa Habari wakiwajibika ndani ya Mkutano Mkuu.

Wajumbe wa Kamati Kuu wakiwa kamili.
Wazee wa Baraza la ushauri wakiwa makini kungoja kutoa maamuzi sahihi.

Toa Maoni Yako:
0 comments: