Wateja wa Benki ya First National Bank, wakichukua Chakula cha kufuturu
walichoandaliwa na benki hiyo kwajiili ya mwezi Mtukufu wa Ramadhan
jijini Dar es Salaam
Wateja wa Benki ya First National Bank wakifuturu Chakuala
kilichoandaliwa na benki hiyo kwajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani jiji
ni Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Wateja wakubwa wa Benki ya FNB, Khalifa Zidadu akizungumza
na wateja wa Kiislanm wa binki hiyo wakati wa hafla ya kufutulisha
wateja wake iliyofanyika Dar es Salaam
Imamu Mkuu wa Msikiti wa Maamur uliopo Upanga Dar es Salaam, Issa
Othuman Issa, akaitoa neon la Shukurani kwa viongozi wa benki ya FNB,
(hawapo pichani) wakati wa hafla ya kula futari ya iliyoandaliwa na
benki hiyo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Benki ya FNB, Dave Aieken (kushoto), akizungumza na
wateja wa benki hiyo wakati wa hafla ya kuwaandia futari kutokana na
Mwezi Mtukuru wa Ramadhani jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Benki ya FNB, Dave Aieken (katikati), akizungumza na
wateja wa benki hiyo wakati wa hafla ya kuwaandia futari kutokana na
Mwezi Mtukuru wa Ramadhani jijini Dar es Salaam.


Toa Maoni Yako:
0 comments: