Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Finca Microfinance, Edward Greenwood akizungumza mara baada ya kufutali mwishoni mwa wiki baada ya  kujua umhimu wa mwenzi mtukufu wa Ramadhani na kufuturu na waislamu  waliofunga.
Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum akizungumza mara baada ya kufutari katika futari iliyoandaliwa na Benki ya Finca Microfinance jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
 Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Benki ya Finca Microfinance, Edward Greenwood akizungumza na Sheikh wa Mkoawa Dar  es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum wakati wakifuturu mwishoni mwa wiki.
  Baadhi wa waumini wa dini ya Kiislam wakifuturu katika mwenzi Mtukufu wa Ramadhani futari iliyoandaliwa na Benki ya Finca Microfinance jijini Dar es Salam mwishoni mwa wiki
---
BENKI ya Benki ya Finca Microfinance kwakutambua mchango kwa jamii wanayoihudumia katika mwezi mtukufu wa Ramadhani wammeamua kufuturu na wakazi na wateja wa benki hiyo.

Akizungumza baada yakufuru Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Benki ya Finca Microfinance, Edward Greenwood amesema wanatambua umuhimu katika mwezi huu kuwa wanawajibu kufuru na watu iliwaendelee kupata baraka yakuendelea kukua kwa benki hiyo.

Amesema kama benki itaendelea kutoahuduma kwani imekuwa ikikua kwa kasi tangu  kuanza kama taasisi yamikopo na kuweza kufikia benki ni kutokana na  jamii kutambua mchango wake ambapo imetimiza miaka 18 tangu ilipoanzishwa mwaka 1998.

“Mafanikio haya ya Benki ya Finca Microfinance ni kutokana na mchangowenu, maoni na ushirikiano wenu bilahivyo tusingewezakufika hapa tulipo”amesema Greenwood.

Nae Sheikh wa Mkoawa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum amesema benki imetambua umuhimu  katika mwezi mtukufu kwakutoa sehemu yakufuturisha kwakile  wanachokipata.

Benki yaBenki ya Finca Microfinance yawatu inayosikilizana kumdhamini kila mtanzania, tunawaahidi kuendelea kutoahuduma bora.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: