Golikipa wa timu ya Simba, Ivo Mapunda akisafisha makaburi ya wazazi wake mara baada ya kutembelea kijijini kwao Songea.
UJUMBE WAKE IVO MAPUNDA ALIOUANDIKA AKIAMBATANISHA NA PICHA:

Siku zote nilipokuwa naenda nyumbani nilikuwa nawakuta baba na mama na ndiyo ilikuwa furaha yangu kuwaona... leo hii naenda nyumbani wazazi wote hawapo nakuta makaburi yao na mji ukiwa unabadirika. Ndipo nilipoamua kufanya usafi walipolala wazazi wangu, naamini Mungu ni mwema atawapokea.Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: