Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akipiga mahesabu ya haraka haraka na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile, baada ya kuulizwa swali na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia ukanda wa Afrika Bw. Makhatar Diop,( hayupo kwenye picha).Kulia ni Bw. Rished Bade Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania na kushoto ni Gavana msaidizi wa Benki kuu ya Tanzania Bi. Natu Mwamba.
Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia ukanda wa Afrika Bw. Makhatar Diop pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier wakitafuta kitu cha kumuuliza Waziri wa fedha (hayupo kwenye picha)katika mkutano uliofanyika mjini Washington DC.
Ujumbe wa Mkutano huo kutoka pande zote mbili yaani Tanzania na Benki ya Dunia, wakiwaangalia wajumbe waliokuwa wakijitambulisha.
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akijibu maswali aliyokuwa akiulizwa na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia ukanda wa Afrika Bw. Makhatar Diop aliyeko mbeleyake.Kulia kwa Waziri ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile akifuatiwa na Bw. Rished Bade Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania.

Picha zote na Ingiahedi C. Mduma – Washington DC.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: