Sehemu ya umati, uliokusanyika katika viwanja vya kufurahisha watoto, Kariakoo, Zanzibar katika kuadhimisha siku ya Karume, iliyoandaliwa na Tigo.
Watoto wakishindana kudansi nyimbo za kisasa katika viwanja vya kufurahisha watoto, Kariakoo, Zanzibar katika kuadhimisha siku ya Karume, iliyoandaliwa na Tigo.
Mfalme wa vichekesho Tanzania, kwa jina maarufu King Majuto, akitambulishwa mbele ya umati uliohudhuria tamasha la Tigo, la kuadhimisha siku ya Karume katika viwanja vya kufurahisha watoto,Kariakoo, Zanzibar.
Kikundi cha P6 kikiwatumbuiza maelfu ya wakaazi wa Zanzibar, katika tamasha la Tigo,lililofanyika katika viwanya vya kuwafurahisha watoto, kariakoo, Zanzibar.
Kikundi cha D6 kikiwatumbuiza maelfu ya wakaazi wa Zanzibar, katika tamasha la Tigo, lililofanyika katika viwanja vya kuwafurahisha watoto, kariakoo, Zanzibar
Mfalme wa vichekesho Tanzania, kwa jina maarufu King Majuto akiwa na msanii mwenziwe wakiwachekesha wakaazi wa Zanzibar, waliohudhuria katika tamasha la Tigo, la kuadhimisha siku ya Karume katika viwanja vya kufurahisha watoto, Kariakoo, Zanzibar.


.jpg)
.jpg)
Toa Maoni Yako:
0 comments: