MLOKOLE: Konda weka nyimbo za yesu
KONDA: Yesu Bado hajatoa albam
TOZI: Humu ndani joto
KONDA: kapande friji
ABIRIA: hakuna siti
KONDA: Kwani hawa waliokaa wamekalia madumu au?
SISTERDU: Konda umenibana
KONDA: Hiyo suruali inakubana Mbona husemi?
MAMA: sikai siti za mwisho
KONDA: Kwani ziko nje ya gari?
KIBABU: Mbona unamaneno ya shombo ivyo?
KONDA: nikamulie ndimu utoe hilo shombo!



Toa Maoni Yako:
0 comments: