Familia ya Marehemu Freddrick Nicholaus Kaaya wa Mikocheni Dar es Salaam, wanasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa Flora Kaaya kilichotokea 11/04/2015 katika Hospitali ya TMJ.
Mwili wa Marehemu utaagwa nyumbani kwake Mikocheni siku ya jumatano Aprili 15, 2015 kuanzia saa 4 asubuhi.
Mazishi yatafanyika kijiji cha Akheri –Arumeru, Arusha siku ya Alhamisi Aprili 16,2015 saa 4 Asubuhi.
BWANA AMETOA NA BWANA
AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.



Toa Maoni Yako:
0 comments: