Katika picha hii ya Maktaba, Amiri Jeshi Mkuu , Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzani (JWTZ) Brigedia Jenerali Sara Thomas Rwambali ambaye hivi karibuni, Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Dr. Nkosazana Dlamini Zuma amemteua kuwa Mwakilishi Maalum na Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Afrika nchi Sudani ya Kusini.
Home
Unlabelled
BRIGEDIA JENERALI SARA THOMAS RWAMBALI ATEULIWA KUWA MWAKILISHI MAALUM WA AU SUDAN YA KUSINI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


.jpg)
Toa Maoni Yako:
0 comments: