Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba (katikati), Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (kushoto) na Kaimu Mtendaji Mkuu wa Benk ya NMB, Tom Borgjols wakiwa wameshika bango linaloashilia uzinduzi wa huduma ya kifedha kwa njia ya mtandao kati ya Airtel na NMB, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Home
Unlabelled
AIRTEL NA NMB WAZINDUA HUDUMA YA KIFEDHA KWA NJIA YA MTANDAO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments: