Katibu Mkuu wa Mashindano ya Vyuo vilivyosajiliwa na NACTE TANZANIA,  Waziri wa Michezo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM), Ladslaus Tumbu)(kulia) na Katibu Msaidizi wa Michuano hiyo, Waziri wa Michezo kwenye Chuo cha Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Samweli Samweli(wa pili kulia), wakikabidhi Kombe linaloshindaniwa na Vyuo mbali mbali Kanda ya Dar es Salaam(Mashariki) kwa Viongozi wa NACTE, Msaidizi wa Mkurugezi, Alex Mkondola(wa kwanza kushoto) na Mwanasheria Mkuu NACTE Cexemary Mize(wa Pili kushoto)Wakati wa Hafla ya Kukabidhi Kombe hilo la Michuano ya NACTE TANZANIA, lililotolewa na Kampuni ya Simu za Mkononi VODACOM Tanzania, Michuano hiyo inafunguliwa April 18 kwenye Viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM).
 Katibu Mkuu wa Mashindano ya Vyuo vilivyosajiliwa na NACTE TANZANIA,  Waziri wa Michezo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM), Ladslaus Tumbu)(kulia) na Katibu Msaidizi wa Michuano hiyo, Waziri wa Michezo kwenye Chuo cha Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Samweli Samweli(wa pili kulia), wakikabidhi Kombe linaloshindaniwa na Vyuo mbali mbali Kanda ya Dar es Salaam(Mashariki) kwa Viongozi wa NACTE, Msaidizi wa Mkurugezi, Alex Mkondola(wa kwanza kushoto) na Mwanasheria Mkuu NACTE Cexemary Mize(wa Pili kushoto)Wakati wa Hafla ya Kukabidhi Kombe hilo la Michuano ya NACTE TANZANIA, lililotolewa na Kampuni ya Simu za Mkononi VODACOM Tanzania, Michuano hiyo inafunguliwa April 18 kwenye Viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM)(Picha kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: