Rais  Jakaya Mrisho Kikwete akipokea baadhi ya vitabu vya sayansi toka kwa  Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress, Vitabu hivyo ambavyo vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa Marekani.
 Rais  Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete na Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress wakiwa na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar es Salaam wakiwa na vitabu vya sayansi vilivyochapishwa  na Watu wa Marekani.
 Rais  Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na  Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress akigawa vitabu kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mtakuja ya Kunduchi jijini Dar es salaam. Vitabu hivyo, ambavyo pia

vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa Marekani.
 Kikundi cha utamaduni cha jeshi la polisi kikitumbuiza katika sherehe ya kukabidhiwa vitabu vya sayansi vilivyotolewa na Watu wa Marekani
 Baadhi ya maafisa wa ubalozi wa Marekani wakiwa katika katika sherehe ya kukabidhiwa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa  na Watu wa Marekani.

 Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuf Mwenda (kulia), akitoa taarifa ya shughuli za maendeleo katika sekta ya elimu mbele ya Rais Jakaya Kikwete.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua maabara katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e Salaam ambako  pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa  na Watu wa Marekani. Wa kwanza kulia ni Dkt Shukuru Kawambwa, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, akifuatiwa na mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma kikwete, Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress, na viongozi wengine wakiangalia jinsi somonla sayansi likifundishwa katika darasa la Kidatu cha pili Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e Salaam ambako  pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa  na Watu wa Marekani.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma kikwete, Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress, Dkt Shukuru Kawambwa, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,na viongozi wengine wakisalimia wanafunzi katika   darasa la Kidatu cha pili Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako  pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi
vilivyochapishwa na Watu wa Marekani
 Rais  Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Marekani nchini Mhe. Mark Childress, wakiongea na mkandarasi wa maabara ya  Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e Salaam ambako  pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyotolewa na Watu wa Marekani.

 Rais  Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na  Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress katika picha na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mtakuja ya Kunduchi jijini Dar es salaam baada ya kuwagawia vitbu vya sayansi. Vitabu hivyo, ambavyo pia vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa Marekani.
 Mwanafunzi wa Kidatu cha pili D, Khairat Nassor, akitoa ushuhuda wa jinsi wanafunzi walivyokuwa na nafuu baada ya kupatikana vitabu vya sayansi katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja ya Kunduchi jijini Dar es salaam. Vitabu hivyo, ambavyo pia vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa Marekani.

 Mama Salma Kikwete akiagana na walimu wenzake baada ya sherehe za kukabidhi vitabu vya sayansi. katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja ya Kunduchi jijini Dar es salaam. Vitabu hivyo, ambavyo pia vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa Marekani.
 Mama Salma Kikwete akiagana na walimu wenzake baada ya sherehe za kukabidhi vitabu vya sayansi. katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja ya Kunduchi jijini Dar es salaam. Vitabu hivyo, ambavyo pia vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa Marekani. Picha na IKULU.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: