Mabondia Antony Peter kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Hamidu Mussa wakati wa mpambano wao Mussa alishinda kwa point mpambano huo.Bondia Selemani Mkalakala akiwa chini kwa konde zito alilotupiwa na Ibrahimu Maokola wakati wa mpasmbano wao wa ubingwa.Mgani rasmi katika mpambano huo Joseph Vitalis kulia akimvisha mkanda wa ubingwa unaotambulika na chama cha TPBC bondia Ibrahimu Maokola baada ya kumdunda Seleman Mkalakala kwa k,o ya raundi ya 7 kushoto ni promota wa mpambano huo Shabani Adiosi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: