Msanii Juma katundu akiwa na nyuso ya furaha baada ya ya kufunga pingu za maisha na Amina Said Nguriche 'Queen Emmy' ndoa iliyofungwa mwishoni mwa wiki iliyopita Kimara mwisho nyumbani kwa bibi harusi. Bwana ni mwimbaji Wa bendi ya Msondo Ngoma na bi harusi ni Msanii Wa tasnia ya unenguaji nchini.
Maharusi wakiwa na mpambe wao.
Amina Said Nguriche 'Queen Emmy'
Toa Maoni Yako:
0 comments: