Mkuu wa idara ya Huduma kwa wateja, Ndugu Zaeem Khan akikabidhi kadi za kipaumbele kwa wateja walio hudhuria hafla hiyo.
Wateja wakisikiliza mazungumzo mojakwamoja Baina ya mteja na muhudumu wetu katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter)
Wateja waliopata nafasi ya kutembelea kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) wakipata maelekezo kuhusu huduma za Tigo.
Pic 3 and 6:- Wateja wakisikiliza mazungumzo mojakwamoja Baina ya mteja na muhudumu wetu katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter)
Picha ya pamoja ya Wafanyakazi na wateja wa Tigo waliotembelea kituo cha Huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter).
 Mkuu wa idara ya Huduma Kwa Wateja, Ndugu Zaeem Khan akichagua sim ya kumpatia mteja kwenye duka letu la Tigo liliopo Buguruni,Dar es salaam.
 Mkuu wa Idara ya Huduma kwa wateja Ndugu Zaeem Khan akitoa zawadi ya Sim kwa mteja wetu wa Tigo katika maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja.
Meneja Uendeshaji wa Huduma za Wateja,Ndugu Charles Gardner akitoa maelezo kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na Tigo.
 Meneja Uendeshaji na Msaidizi wa Mifumo ya Mawasiliano Bi. Halima Kasoro akikabidhi Zawadi ya Vocha kwa mteja wa Tigo katika maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja.
Mteja wa Tigo akifurahia zawadi ya vocha aliyopewa na Meneja Ubora kutoka Idara ya Huduma kwa wateja Bi. Mwangaza Matotola katika maadhimisho ya Wiki ya huduma kwa Wateja.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: