Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya Uratibu wa Maafa yatoa Mafunzo ya Dhana ya Maafa kwa wataalamu kutoka Halmashauri na Manispaa ya Mkoa wa Mtwara kwa ajili ya kuandaa Mpango wa Kujiandaa na Kukabiliana na Maafa. Miongoni mwa masuala yanaoelezwa ni pamoja na, jinsi ya Kujiandaa na Maafa, Kukabili, Kuzuia na namna ya kurudisha hali baada ya Maafa kutokea
Home
Unlabelled
MAFUNZO YA MAAFA MKOANI MTWARA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: