Karibuni wateja wote MARANATHA GRAPHICS SOLUTIONS hawa ni mabingwa wa kudizaini na uchapishaji aina mbali mbali kulingana na mahitaji yako. Unaweza kuwasiliana nao 0715 040 310, Wanapatikana Mivinjeni-Kurasini jijini Dar es Salaam.
Kutana na Mkurugeni wa Maranatha Graphics Solutions, Imani Ntila... Mtaalamu wa mambo yote.
Mfanyakazi wa Maranatha Graphics Solutions akibandika stiker.
Mkurugeni wa Maranatha Graphics Solutions, Imani Ntila akiwa kazini.
Mara baada ya kazi akishoo love.
Sikuzote mteja ni mfalme hufuatwa alipo na kuchukiliwa vipimo stahiki.
Wanaprint tisheti kwa mitindo tofauti unayopenda wewe mteja.
Nembo za biashara.
Mabango ya matangazo kwenye magari.
Kuchapisha mikoba. Kazi zote zimefanywa na MARANATHA GRAPHICS SOLUTIONS.
Toa Maoni Yako:
0 comments: