Abiria wakwama njiani zaidi ya masaa 6  abiria ambao walikuwa wanaelekea mwanza na gari la princes shabaha  wamezidi teseka  huku  hawajui hatima yao ya safari.

 Gari hilo lenyenamba za usajili T102 AVX  Wamekwama maeneo ya kibamba jiji dar es salamu  huku kina mama na watoto wakizidi teseka.
 Mama Huyu Akiteseka na mtoto mdogo.
 Abiria wakiwa nje ya basi.
 Baadhi ya abiria wakijadiliana nini cha kufanya ili wapate usafiri mwingine.
 Hizi ndio namba za basi hilo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: