Baadhi ya waumini wa Kanisa la Yesu Christo la watakatifu wa siku za mwisho wakipaka rangi bweni la kituo cha watoto yatima cha yatima group trust fund kilichopo mbagala chamanzi ambapo waumini hawo walitumia siku hiyo kufanya usafi wa mazingira mbalimbali ikiwemo kukata kuni pamoja na kucheza na watoto wanaoishi katika kituo hicho kama njia moja ya kuwafariji
Baadhi ya waumini wa Kanisa la Yesu Christo la watakatifu wa siku za mwisho wakipaka rangi bweni la kituo cha watoto yatima cha yatima group trust fund kilichopo mbagala chamanzi ambapo waumini hawo walitumia siku hiyo kufanya usafi wa mazingira mbalimbali ikiwemo kukata kuni pamoja na kucheza na watoto wanaoishi katika kituo hicho kama njia moja ya kuwafariji
Muhumini wa Kanisa la Yesu Christo la watakatifu wa siku za mwisho Charles Nyamuhanga akikati kuni kwa mashine kwa ajili ya watoto yatima wa group trust fund kilichopo mbagala chamanzi ambapo waumini hawo walitumia siku hiyo kufanya usafi wa mazingira mbalimbali ikiwemo kukata kuni pamoja na kucheza na watoto wanaoishi katika kituo hicho kama njia moja ya kuwafariji.
kuni zikikatwa
Baadhi ya waumini wakinamama wa Kanisa la Yesu Christo la watakatifu wa siku za mwisho wakimenya viazi kwa ajili ya kupika na watoto wa kituo cha Yatima group trust fund cha mbagala chamanzi Dar es salaam
waumini wakinamama wa Kanisa la Yesu Christo la watakatifu wa siku za mwisho wakijadiliana mambo mbalimbali
Baadhi ya watoto yatima wanaoishi katika kituo hicho wakiimba na kucheza.
Baadhi ya waumini wa Kanisa la Yesu Christo la watakatifu wa siku za mwisho wakiwa wamebeba kani kwa ajili ya shughuli za kituo cha watoto yatima cha Yatima group trust fund cha mbagala chamanzi Dar es salaam.
Watoto wa wahumini wa Kanisa la Yesu Christo la watakatifu wa siku za mwisho wakicheza mpira wakati walipotembelea kituo cha watoto Yatima group trust fund cha mbagala chamanzi Dar es salaam.
Watoto wakicheza
Baadhi ya waumini wa Kanisa la Yesu Christo la watakatifu wa siku za mwisho wakiwa katika picha ya pamoja walipo tembelea kituo cha Yatima group trust fund cha mbagala chamanzi Dar es salaam
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: