Baadhi ya wahariri wa vyombo anuai vya habari wakiuliza maswali kwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba. Baadhi ya wahariri wa vyombo anuai vya habari wakiuliza maswali kwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba.Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Valerie Msoka (kulia) akiwasilisha mada kwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba. Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Valerie Msoka (kulia) akiwasilisha mada kwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba.Baadhi ya wahariri wa vyombo anuai vya habari wakiuliza maswali kwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba. Baadhi ya wahariri wa vyombo anuai vya habari wakiuliza maswali kwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba.Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba katika mkutano huo. Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba katika mkutano huo.Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba katika mkutano huo. Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba wakifuatilia mada mbalimbali katika mkutano huo.

Na Hellen Kwavava wa Kajunason Blog.

Zikiwa zimebaki siku 12 kwa bunge maalum la katiba kuanza tena wajumbe wanawake wa bunge hilo pamoja na mtandao wa wanawake na katiba na Tamwa wamekutana leo jijini dar es salaam ili kujadili mchakato mzima wa katiba hususani haki ya mwanamke katika usawa wa jinsia na katiba.

Akizungumza mara baada ya kufungua mkutano huo Mkurugenzi wa TAMWA Valeria Msoka amesema kwamba wao wanahitaji katiba itakayo zingatia jinsia na si kuegemea upande mmoja na pia itaangalia kwa umakini na kutoa kipaumbele masuala ya wanawake.

Naye Mwenyekiti wa Mtandao wa wanawake na katiba, Mary Lusinde ameeleza kwamba wanatarajia mambo waliyoyajadili katika mkutano huo yatafanyiwa kazi katika katiba mpya ambapo masuala yote yanayodai sheria kubadilishwa ili katika chaguzi zote zinazokuja ziwe na msingi huo wa kulinda utu wa mwanamake na mtoto.

Mmoja wa wajumbe wabunge la katiba ambaye pia mbunge wa zanzibar kupitia jimbo la wete Mbaruku Salim Ali amesema kwamba katiba ya zamani haikutoa fursa kwa wanawake kwasasa ipo haja ya kuhakikisha haki inapatikana kwa mwanamke na mtoto.

Hata hivyo wadau mbalimbali wameweza kutoa ushauri kwa wajumbe hao wanawake kuweza kuondoa aibu pindi wanapohitaji haki zao ili utekelezaji wa haraka na umakini ufanyike haraka na mapema.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: