Kikosi cha Timu ya Brazil kilichoweza kufuzu hatua ya Nusu fainali ya kombe la Dunia 2014 baada ya kuidunda Colombia 2 - 1. 
Brazil imefuzu kwa nusu fainali ya kombe la dunia ambapo itakabiliana na Ujerumani katika hatua ya nusu fainali ya kombe la Dunia 2014. Brazil imefuzu nafasi hiyo baada ya kuilaza Colombia 2-1.
Mchezaji wa Neymal akiwa hewani kugombea mpira na mchezaji wa Colombia.

Mashabiki walivyojiachia.
Kinara za mchezo; Mchezaji wa Brazil, David Luic akishangilia mara baada ya kufunga goli wakati wa mechi yao ya kufuzu kuingia hatua ya nusu fainali ya kombe la dunia 2014 baada ya kuifunga Colombia bao 2-1 iliyofanyika nchini Brazil.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: