Wasanii Pitbull, Jennifer Lopez na Claudie Leitte wakitoa burudani ya wimbo uliokuwa ukihamasisha umoja 'We are One' kwa wapenzi wa Mpira wa Miguu wakati wa Ufunguzi wa Kombe la Dunia 2014 ambapo baada ya kutoa burudani ilifuatiwa na mechi kati ya Brazil na Croatia. Katika Mecho hiyo Brazil wakiibuka kidedea cha kushinda bao 3-1. Funguzi huo ulfanyika jana Juni 12, 2014 nchini Brazil ambapo mashindano yanafanyika kwa mwaka huu.
Home
Unlabelled
UFUNGUZI WA KOMBE LA DUNIA 2014 WAFANA NCHINI BRAZIL
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: