Mwendesha baiskeli Elvis Munis “Lelo” ambaye ameendesha baiskeli jumla ya nchi 47, kilomita 28,000 kutoka Chile hadi Kilimanjaro (Chile to Kili) akipokewa mjini Arusha juzi, Mwendesha baiskeli huyo amezunguka nchi mbalimbali kwa lengo kuhamasisha kuchangia mfuko wa kusomesha wanafunzi kupitia mpango wa CRC, safari yake ilipata udhamini kutoka kampuni ya simu za Mikononi Tigo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: