Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe ' akionyesha mkanda wa Ubingwa wa WPBF Africa baada ya kutua nchini wakitokea Zambia walipo nyakuwa ubingwa huo kwa kumpiga Mwansa Kabinga wa Zambia katika Arthur Davis Stadium, Kitwe, Zambia.
Mkuu wa wilaya ya Kibondo Venance Mwamoto 'kushoto' alivyongoza mashabiki na wapenzi wa mchezo wa masumbwi kumpokea Ibrahimu Class 'King Class Mawe' aliyeshika mkanda baada ya kurudi na mkanda wa WPBF kwa kumpiga mzambia Mwansa Kabinga katika uwanja wa Arthur Davis kwa k,o ya raundi ya tisa na kufanikiwa kunyakuwa ubingwa uho wa pili kushoto ni bondia Shomari Milundi, kulia ni Promota aliyefanikisha safari hiyo Ya Msangi, wadau Bilali Ngonyani na Rogers Masamu Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Na M:wandisi Wetu.
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe ' katikati akiwa na mashabiki waliopanda nae ndege moja na kumpongeza baada ya kuwasili nchini kwa kunyakuwa ubingwa wa WPBF
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe ' akipokelewa kwaniaba ya serekali nakuu wa wilaya ya Kibondo Venance Mwamoto mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius Nyerere kulia ni Promota wa kimataifa Jay Msangi 'Jiwe Gumu' picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe ' akipokelewa kwa niaba ya serikali nakuu wa wilaya ya Kibondo Venance Mwamoto katikati mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius Nyerere kulia ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Toa Maoni Yako:
0 comments: