Juzi Juni 8, 2014 majira ya saa 6 mchana maeneo ya Kahama, Shinyanga nilikutana na jambo ambalo kiukweli nilishindwa kulielewa kwani ni nini hiki? Tulikutana na jamaa amebeba Jeneza kwenye pikipiki. Jambo hili lilinistajabisha na kujikuta nikiwauliza wenzangu inamaana ugumu wa maisha umetufanya mpaka tumekuwa wabunifu kiasi hiki.
Home
Unlabelled
TEMBEA UONE: JAMAA ABEBA JENEZA KWENYE PIKIPIKI, KAHAMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
kwani cha ajabu ni nn! si ni balance na ikawepo. na je uliukiza kama kuna mwili au lipo tupu? wewe umezoea linabebwa kwa kutumia nn
ReplyDelete