Baadhi ya Wacheza filamu hapa nchini,wakiwa pembeni ya Jeneza la Mpendwa wao Sheila Leo Haule (Rachel) aliefikwa na umauti hivi karibuni. 
 Sehemu ya Waombolezaji wakiwani ni wenye Majonzi Makubwa ya kuongokewa na mpendwa wao Sheila Leo Haule (Rachel). 
 Mchumba wa marehemu Bw. Saguda akilia kwa uchungu huku akiliwazwa na nduguye.
 Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steven Nyerere akilia kwa uchungu.
 Sehemu ya wacheza filamu wa Bongo Movie wakilia kwa uchuku kwa kuondokewa na Mwenzao, Marehemu Sheila Leo Haule (Rachel) wakati wa shughuli ya kuaga mwili wake iliyofanyika mchana wa leo kwenye viwanja vya Leaders Club, Jijini Dar es Salaam.
 Waombolezaji wakiwa na nyuso za majonzi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: