Waziri mkuu Mizengo Pinda na mkewe wakitoa heshima za mwisho walipokuwa
wakiuaga mwili wa aliyekuwa Askofu wa kanisa la Anglican Central Tanganika Godfrey Mdimi Mhogolo kabla ya ibada ya mazishi iliyofanyika katika
kanisa la roho mtakatifu Dodoma.
 Mjane wa Marehemu aliyekuwa Askofu wa Kanisa la Anglican Central Tanganika Godfey Mhogolo, Iren Mhogolo akiwa mwenye huzuni pembeni ya jeneza
kabla ya kuingizwa kaburini.
 Maaskofu mbalimbali wa kanisa la Aglican wakilishusha jeneza lenye mwili
wa aliyekuwa  Askofu wa kanisa hilo Central Tanganika Godfrey Mdimi
Mhogolo kaburini, katika mazishi yaliyofanyika nje ya kanisa la Roho
Mtakatifu maarufu  la Mtungi Mjini Dodoma.
 Maaskofu mbalimbali wa kanisa la Aglican wakiweka mchanga kwenye kaburi la aliyekuwa Askofu wa kanisa la Anglican Central Tanganika
aliyefariki Mwishoni mwa mwezi uliopita alipokuwa kwenye matibabu nchini Africa ya kusini.
 Waziri mkuu Mizengo Pinda akiweka mchanga kwenye kaburi la aliyekuwa Askofu wa kanisa la Anglican Central Tanganika Godfrey Mdimi Mhogolo
 
 
Waziri mkuu Mizengo Pinda na mkewe wakiweka shada ya maua juu ya
kaburi la aliyekuwa Askofu wa kanisa la Anglican Central Tanganika
aliyefariki Mwishoni mwa mwezi uliopita alipokuwa kwenye matibabu nchini Africa ya kusini.
Waziri mkuu wa zamani Edwald Lowasa akiweka shada ya maua juu ya
kaburi la aliyekuwa Askofu wa kanisa la Anglican Central Tanganika
aliyefariki Mwishoni mwa mwezi uliopita alipokuwa kwenye matibabu nchini Africa ya kusini.
 Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda akiweka shada la maua kwenye kaburi hilo.
 Familia ya Marehemu Godfrey Mdimi Mhogolo aliyekuwa Askofu mkuu wa
kanisa la Anglicani Central Tanganika wakiwa katika eneo la makaburi
ambapo amezikwa nje ya kanisa la Roho Mtakatifu Dodoma.

PICHA NA JOHN BANDA WA PAMOJA BLOG
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: