Katibu Mkuu wa Chadema, Dr. Wilbroad Slaa akiwahutubia wafuasi wa vyama vya siasa wakati wa Kongamano la kujadili Katiba mpya inayoendelea mjini Dodoma jana.
Katibu Mkuu wa NCCR-Mageuzi Ndg. Mosena J. Nyambabe, akihutubia jana kwenye kongamano hilo.

Wafuasi wa Vyama vya Siasa wakiwa katika Kongamano hilo jana
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: