Mkuu wa Bandari ya Mtwara, Absalom Bohela (kushoto) akikabidhi msaada wa madawati 110 yenye thamani ya shilingi milioni 20 kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mh. Ludovick Mwananzila (kulia) wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika hivi karibuni katika kijiji cha Mahumbika kilichopo Lindi vijijini.

Mkuu wa Bandari ya Mtwara, Absalom Bohela 
akisoma hotuba kwa niaba ya Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa 
Bandari Tanzania (TPA) kabla ya kukabidhi msaada wa madawati 110 yenye thamani 
ya shilingi milioni 20 kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mh. Ludovick Mwananzila hivi 
karibuni.

 Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Mahumbika 
wakifurahia jambo wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa madawati 110 yenye 
thamani ya shilingi milioni 20 kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania 
(TPA), iliyofanyika hivi karibuni katika kijiji cha Mahumbika kilichopo Lindi 
vijijini.
Wasanii wa kikundi cha ngoma na maigizo cha kijiji cha Mahumbika, Lindi wakitoa burudani wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa madawati 110 yenye thamani ya shilingi milioni 20 kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari 
Tanzania (TPA), iliyofanyika hivi karibuni katika kijiji cha Mahumbika 
kilichopo Lindi vijijini.
Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Dkt.  Hemid Nassoro akizungumza na wakazi wa kijiji cha Mahumbika kabla ya kupokea msaada wa madawati 110 yenye thamani ya shilingi milioni 20 kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), kwa shule za mkoa wa Lindi hivi karibuni.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: