Wakili wa kituo cha Haki za Binadamu (LHRC), Hamisi Mkindi akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za kituo hicho zilizopo Kijitonyama, Dar es Salaam kuhusiana na uchaguzi mdogo uliofanyika Chalinze na kusema kulikua na ukiukaji wa haki za binadamu ikiwemo vyombo vya habari kuripoti zaidi upande mmoja.
Home
Unlabelled
LHRC CHAVISHUTUMU VYOMBO VYA HABARI KURIPOTI UPANDE MMOJA KATIKA UCHAGUZI WA CHALINZE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments: