Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Fimbo Buttallah akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) katika uzinduzi wa shindano la kitaifa la mpira wa miguu litalohusisha wachezaji sita kila upande linaloitwa ‘Castle Lager Perfect Six’ uliofanyika jana jijini Dar es Salaam. Pembeni yake kushoto ni Meneja wa bia ya Castle Lager Kabula Nshimo.
Meneja wa bia ya Castle Lager Kabula Nshimo akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) katika uzinduzi wa shindano la kitaifa la mpira wa miguu litalohusisha wachezaji sita kila upande linaloitwa ‘Castle Lager Perfect Six’ uliofanyika jana jijini Dar es Salaam. Pembeni yake kulia Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Fimbo Buttallah.
Wachezaji wa Timu ya Xavi (wenye jezi nyeusi) na Mascherano (wenye jezi kijivu) wakijadiliana jambo wakati wa mchezo wa tamasha la Perfect Six Media Bonanza ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa shindano hilo la kusisimua. Timu ya Xavi iliibuka kidedea kwa bao 6-1. Tamasha la Perfect Six Media Bonanza lililofanyika katika ufukwe wa Mbalamwezi jijini Dar es Salaam na lilikuwa na lengo la kuwakutanisha pamoja waandishi wa habari toka vyombo mbali mbali ikiwa ni pamoja na kuwajengea uelewa wa mchezo.
Wachezaji wa Timu ya Xavi (jezi nyeusi) wakishambulia vikali katika lango la timu ya Kuyol (jezi kijivu), ambapo katika mtangange huo Kuyol waliibuka kidede kwa kutwaa ubingwa wa bao 5-1. Na Mascherano wao waliibuka washindi wa pili. Tamasha la Perfect Six Media Bonanza lililofanyika katika ufukwe wa Mbalamwezi jijini Dar es Salaam.
Kombe na Medali zisubiri washindi.
Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Fimbo Buttallah akimkabidhi kombe la ushindi timu kapteni wa timu ya Kuyol, Majuto Omary mara baada ya kuibuka washindi wa tamasha la Perfect Six Media Bonanza lililofanyika katika ufukwe wa Mbalamwezi jijini Dar es Salaam.
Wachezaji wa timu ya Kuyol wakiongozwa na kapeni wao, Majuto Omary wakishangilia ushindi wao, pembeni  yao ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Fimbo Buttallah (kulia) na Meneja wa bia ya Castle Lager Kabula Nshimo (kushoto). Picha zote na Cathbert Kajuna.
Wachezaji wa timu ya Kuyol wakiongozwa na kapeni wao, Majuto Omary wakishangilia ushindi wao, pembeni  yao ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Fimbo Buttallah (kulia) na Meneja wa bia ya Castle Lager Kabula Nshimo (kushoto). Picha zote na Cathbert Kajuna.
Kiongozi wa timu ya Kuyol, Majuto Omary akitoa shukrani kwa waandaaji wa tamasha hilo.
Marafiki wakifurahia ushindi wa timu ya Kuyol, pembeni yao ni Mkurugenzi wa Executive Solutions, Aggrey Marealle (kwanza kulia).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: