Washindi wa Music Masters competition Ibrahim Kowero (kulia) na Issah Mwilima katika picha ya pamoja kwenya hafla fupi ya kuwaaga kabla hawajakwea pipa kwenda Dubai kushuhudia Heineken Music event (Live at Atlantis) tarehe 21 Machi 2014. Pia tarehe 22 washindi hawa watafanya ziara kwa vivutio mbalimbali Dubai ikiwemo kufanya manunuzi kwenye Dubai Mall inayofahamika duniani kwote.
Home
Unlabelled
WASHINDI WA SHINDANO LA MUSIC MASTER LILILOENDESHWA NA HEINEKEN TANZANIA WAKWEA PIPA KWENDA DUBAI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments: