Afisa Mauzo wa Tigo Bw. Moses Simon (kushoto) akisaidiwa kuchangia damu na wakala wa uchangiaji damu kutoka Hifadhi ya Taifa ya Damu Tanzania Bw. Revocatus Ntenga. Wafanyakazi 33 wa Tigo waliweza kuchangia katika mpango huu wa Damu Salama, zoezi liliofanyika katika ofisi za mauzo ya Tigo mjini Dodoma juzi.
Home
Unlabelled
WAFANYAKAZI WA TIGO WACHANGIA DAMU, MJINI DODOMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments: