Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ommy Dimpoz ambaye kwa sasa yupo nchini Uingereza kwa shughuli zake za kikazi hatimaye ameamua kumuweka wazi mpenzi wake.

Kwa mujibu wa ukurasa wake wa Instagram, Ommy Dimpoz aliandika maneno ya choko choko kuonyesha hapo ndipo amefika...
Alichokiandika baada ya kuweka picha hizi ni hiki....

Lakini wapenzi wake walimsifia na wengine kumuuliza je? Mahusiano yako na Vannesa Mdee yamekwisha. Yeye alikaa kimya Ikiwa ni kawaida ya wasanii wote wanapoandika kitu kutorudi nyuma kujibu... 


Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: