Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Kongamano la Wawekezaji wa Sekta ya Korosho nchini,lililofanyika jijini Dar es Salaam,leo katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere.
 Waziri wa Kilimo, Eng. Christopher Chiza, akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais kufungua kongamano hilo.

Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho, Mudhihir Mudhihir, akizungumza kabla ya kumkaribisha Waziri wa Kilimo, kumkaribisha Makamu wa Rais kufungua kongamano hilo. Picha na OMR. 

 Makamu wa Rais Dkt.Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau waliohudhuria Kongamano hilo,baada ya ufunguzi. 

Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: